Morne Diablotins ni mlima mrefu zaidi katika kisiwa cha Dominica (Karibi).

Mlima Morne Diablotins

Una asili ya volikano na kimo cha mita 1,447 juu ya UB.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Morne Diablotins kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.