Morotonga ni kata ya Wilaya ya Serengeti katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31605.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 5,495 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,108 waishio humo. [2]

Kabla ya kuwa kata, Morotonga ilikuwa kijiji chenye maendeleo makubwa kati ya vijiji vinavyozunguka mji wa Mugumu; kutokana na maendeleo hayo Morotonga ilivutia watu kutoka sehemu mbalimbali, hasa wageni ambao waliwahi kuja na kuishi Mugumu mjini, kupenda kuishi aidha katika nyumba za kupanga na wengine kuomba kuweka makazi yao ya kudumu katika kijiji cha Morotonga. Hayo yote yaliwezekana kutokana na historia na tabia nzuri ya wenyeji ambao ni Waikoma na kwa sababu Morotonga waliishi watu wastaarabu sana.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Serengeti - Mkoa wa Mara - Tanzania  

Busawe | Geitasamo | Ikoma | Issenye | Kebanchabancha | Kenyamonta | Kisaka | Kisangura | Kyambahi | Machochwe | Magange | Majimoto | Manchira | Matare | Mbalibali | Morotonga | Mosongo | Mugumu | Nagusi | Natta | Nyamatare | Nyambureti | Nyamoko | Nyansurura | Rigicha | Ring'wani | Rung'abure | Sedeco | Stendi Kuu | Uwanja wa Ndege


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Morotonga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.