Wilaya ya Serengeti

Wilaya ya Serengeti ni wilaya moja ya Mkoa wa Mara yenye postikodi namba 31600[1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 249,420 [2]

Mahali pa Serengeti (kijani) katika mkoa wa Mara.

Sehemu kubwa ya wilaya ni eneo la hifadhi ya Serengeti iliyo mashuhuri kote duniani.

Makao makuu ya wilaya yapo Mugumu mjini.

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Serengeti - Mkoa wa Mara - Tanzania  

Busawe | Geitasamo | Ikoma | Issenye | Kebanchabancha | Kenyamonta | Kisaka | Kisangura | Kyambahi | Machochwe | Magange | Majimoto | Manchira | Mbalibali | Morotonga | Mosongo | Mugumu mjini | Natta | Nyamatare | Nyambureti | Nyamoko | Nyansurura | Rigicha | Ring'wani | Rung'abure | Sedeco | Stendi Kuu | Uwanja wa Ndege


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Serengeti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.