Mugumu mjini ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Serengeti katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31601. Ni nyumbani kwa hifadhi maarufu Duniani Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Mugumu mjini
Mugumu mjini is located in Tanzania
Mugumu mjini
Mugumu mjini

Mahali pa Mugumu mjini katika Tanzania

Majiranukta: 1°50′21″S 34°40′28″E / 1.83917°S 34.67444°E / -1.83917; 34.67444
Nchi Tanzania
Mkoa Mara
Wilaya Serengeti
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 17,313

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Mugumu ilikuwa na wakazi wapatao 10,226 waishio humo. [1]

Wakazi wengi wa Mugumu ni Wakurya; pia kuna makabila mengine kama vile Waikoma, Wanata, Waisenye, Wakisii na wengine wengi wanaofanya mji huo kuwa na mchanganyiko wa makabila.

Zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa hapo ni waumini wa dini ya Kikristo.

Marejeo Edit

  Kata za Wilaya ya Serengeti - Mkoa wa Mara - Tanzania  

Busawe | Geitasamo | Ikoma | Issenye | Kebanchabancha | Kenyamonta | Kisaka | Kisangura | Kyambahi | Machochwe | Magange | Majimoto | Manchira | Mbalibali | Morotonga | Mosongo | Mugumu mjini | Natta | Nyamatare | Nyambureti | Nyamoko | Nyansurura | Rigicha | Ring'wani | Rung'abure | Sedeco | Stendi Kuu | Uwanja wa Ndege


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mugumu mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.