Mpingakristo

(Elekezwa kutoka Mpinga-Kristo)

Mpingakristo katika Biblia ni mtu au watu waliotabiriwa katika Waraka wa kwanza wa Yohane na Waraka wa pili wa Yohane kuwa watatokea kumpinga Yesu Kristo ili kushika nafasi yake[1][2][3].

Mpingakristo alivyochorwa na Luca Signorelli mwaka 1501; kanisa kuu la Orvieto.
Mpingakristo (kama mfalme upande wa kushoto) alivyochorwa na Herrad von Landsberg (mwaka 1180 hivi) katika Hortus Deliciarum.
Mpingakristo (sehemu ya mchoro wa ukutani katika Monasteri ya Osogovo, Masedonia Kaskazini. Maandishi yanasema "Wafalme na mataifa yote wakimsujudu Mpingakristo."

Badala yake Injili zinawazungumzia Makristo wa uongo[4] na Waraka wa pili kwa Wathesalonike unamtaja "Mtu wa dhambi"[5]

Katika Uislamu, anatajwa Al-Masih ad-Dajjal (المسيح الدجال) kama mmoja atakayetokea kudanganya binadamu kabla ya ujio wa pili wa nabii Isa bin Mariamu (Yesu).

Tanbihi Edit

  1. KJV Search Results for Antichrists. The Blue Letter Bible. Iliwekwa mnamo 2014-02-13.
  2. BibleGateway.com: translations of 1 John 2:18
  3. John 2:22. The Blue Letter Bible. Iliwekwa mnamo 2018-12-17.
  4. Matthew 24:3-5, 24
  5. Homily 4 on Second Thessalonians. From Nicene and Post-Nicene Fathers, First Series, Vol. 13. Edited by Philip Schaff. (Buffalo, NY: Christian Literature Publishing Co., 1889.) Revised and edited for New Advent by Kevin Knight.

Marejeo Edit

Marejeo mengine Edit

Viungo vya nje Edit

  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mpingakristo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.