Mpingakristo katika Biblia ni mtu au watu waliotabiriwa katika Waraka wa kwanza wa Yohane na Waraka wa pili wa Yohane kuwa watatokea kumpinga Yesu Kristo ili kushika nafasi yake[1][2][3].

Mpingakristo alivyochorwa na Luca Signorelli mwaka 1501; kanisa kuu la Orvieto.
Mpingakristo (kama mfalme upande wa kushoto) alivyochorwa na Herrad von Landsberg (mwaka 1180 hivi) katika Hortus Deliciarum.
Mpingakristo (sehemu ya mchoro wa ukutani katika Monasteri ya Osogovo, Masedonia Kaskazini. Maandishi yanasema "Wafalme na mataifa yote wakimsujudu Mpingakristo."

Badala yake Injili zinawazungumzia Makristo wa uongo[4] na Waraka wa pili kwa Wathesalonike unamtaja "Mtu wa dhambi"[5]

Katika Uislamu, anatajwa Al-Masih ad-Dajjal (المسيح الدجال) kama mmoja atakayetokea kudanganya binadamu kabla ya ujio wa pili wa nabii Isa bin Mariamu (Yesu).

Tanbihi

hariri
  1. "KJV Search Results for Antichrists". The Blue Letter Bible. Iliwekwa mnamo 2014-02-13.
  2. BibleGateway.com: translations of 1 John 2:18
  3. "John 2:22". The Blue Letter Bible. Iliwekwa mnamo 2018-12-17.
  4. Matthew 24:3-5, 24
  5. Chrysostom, John. "Homily 4 on Second Thessalonians". Ilitafsiriwa na John A. Broadus. From Nicene and Post-Nicene Fathers, First Series, Vol. 13. Edited by Philip Schaff. (Buffalo, NY: Christian Literature Publishing Co., 1889.) Revised and edited for New Advent by Kevin Knight.

Marejeo

hariri
  • Foxe, John (1583). The Acts and Monuments, Book II. Iliwekwa mnamo 2010-06-06. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Jerome (1893) [347-420]. "Letter to Pope Damasus". Katika Schaff, Philip (mhr.). A Select Library of Nicene and Post-Nicene Fathers of the Christian Church. 2nd series. Juz. la VI. Henry Wace. New York: The Christian Literature Company. uk. 19. {{cite book}}: |access-date= requires |url= (help); External link in |chapterurl= (help); Invalid |ref=harv (help); Unknown parameter |chapterurl= ignored (|chapter-url= suggested) (help)
  • Jerome (1893b) [347-420]. "The Dialogue against the Luciferians". Katika Schaff, Philip (mhr.). A Select Library of Nicene and Post-Nicene Fathers of the Christian Church. 2nd series. Juz. la VI. Henry Wace. New York: The Christian Literature Company. uk. 334. {{cite book}}: |access-date= requires |url= (help); External link in |chapterurl= (help); Invalid |ref=harv (help); Unknown parameter |chapterurl= ignored (|chapter-url= suggested) (help)
  • Jerome (1893c) [347-420]. "Against the Pelagians, Book I". Katika Schaff, Philip (mhr.). A Select Library of Nicene and Post-Nicene Fathers of the Christian Church. 2nd series. Juz. la VI. Henry Wace. New York: The Christian Literature Company. uk. 449. {{cite book}}: |access-date= requires |url= (help); External link in |chapterurl= (help); Invalid |ref=harv (help); Unknown parameter |chapterurl= ignored (|chapter-url= suggested) (help)
  • Jerome (1893d) [347-420]. "Letter to Ageruchia". Katika Schaff, Philip (mhr.). A Select Library of Nicene and Post-Nicene Fathers of the Christian Church. 2nd series. Juz. la VI. Henry Wace. New York: The Christian Literature Company. ku. 236–7. {{cite book}}: |access-date= requires |url= (help); External link in |chapterurl= (help); Invalid |ref=harv (help); Unknown parameter |chapterurl= ignored (|chapter-url= suggested) (help)
  • Jerome (1958) [347-420]. Archer, Gleason L. (mhr.). Jerome's Commentary of Daniel (Translation). Grand Rapids, Michigan: Baker Book House. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Mei 2010. Iliwekwa mnamo 2010-06-07. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help); Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • McGinn, Bernard (1994). Antichrist: Two Thousand Years of the Human Fascination With Evil. New York: HarperCollins.
  • Cabinet, Kristofer Widholm and Bernard McGinn (2001). "Antichrist: An Interview with Bernard McGinn". Cabinet Magazine. Issue 5 Evil Winter. Cabinet Magazine. {{cite journal}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Origen (1872) [185–254]. "Writings of Origen, vol 2". Katika Roberts, Rev. Alexander (mhr.). Ante-Nicene Christian Library [Writings of the Fathers]. Juz. la XXIII. James Donaldson. Edinburgh: T&T Clark. ku. 385–8. {{cite book}}: |access-date= requires |url= (help); External link in |chapterurl= (help); Invalid |ref=harv (help); Unknown parameter |chapterurl= ignored (|chapter-url= suggested) (help)
  • Schaff, Philip; Schley Schaff, David (1885). History of the Christian Church. Charles Scribner's Sons. Iliwekwa mnamo 2009-01-18. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)

Marejeo mengine

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mpingakristo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.