Msitu wa Bankura
Msitu wa Bankura ni hifadhi ya misitu inayo patikana huko Bengali, India. Maafisa kutoka hifadhi ya misitu ya India ambao wapo katika wilaya hiyo hudhibiti, kutoa miongozo na kutoa huduma moja moja kwa jamii kutoka makao makuu huko Bankura.Eneo zima la misitu wa Bankura, ambao hujumuisha maeneo makuu matatu, Bankura ya kaskazini, kusini na eneo la Panchet,ni kama ukubwa wa kilomita 1463.56 za mraba, linalo chukua asilimia 21.27 ya eneo zima la wilaya hiyo.[1]
Kiwango kikubwa cha watu hutumia msitu huu kwa ajili ya ukataji wa kuni, kufuga mifugo na kulima zao pendwa la Shorea robusta. Kutokana na kiwango kikubwa cha wana jamii kuutumia msitu huu kiwango kidogo sana cha ukataji miti hakiwezi kuepukika. Hata hivyo jitihada zimewekwa ili kuweza kufanya harakati stahiki za kuendeleza matunzo ya msitu huu.[2]
Marejeo
hariri- ↑ Sarin, Madhu (1995-01). "REGENERATING INDIA'S FORESTS: RECONCILING GENDER EQUITY WITH JOINT FOREST MANAGEMENT". IDS Bulletin (kwa Kiingereza). 26 (1): 83–91. doi:10.1111/j.1759-5436.1995.mp26001012.x.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ Sarin, Madhu (1995-01). "REGENERATING INDIA'S FORESTS: RECONCILING GENDER EQUITY WITH JOINT FOREST MANAGEMENT". IDS Bulletin (kwa Kiingereza). 26 (1): 83–91. doi:10.1111/j.1759-5436.1995.mp26001012.x.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Msitu wa Bankura kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |