Msufi
Msufi mwekundu
Msufi mwekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malvales (Mimea kama mpamba)
Familia: Malvaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mpamba)
Jenasi: Bombax L.

Ceiba Mill.
Rhodognaphalon (Ulbr.) Roberty

Misufi ni miti mirefu ya jenasi tatu katika familia Malvaceae ambayo yanazaa matunda yaliyojaa na sufi, nyuzi zinazofanana na pamba. Spishi nyingi zinatokea Amerika ya Kusini na ya Kati na Asia, lakini spishi kadhaa zina asili yao katika Afrika.

Spisha za Afrika

hariri
  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msufi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.