Mtela
(Canavalia cathartica)
Mtela
Mtela
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Faboideae (Mimea inayofanana na mharagwe)
Jenasi: Canavalia
DC.
Spishi: C. cathartica
Thouars

Mtela (Canavalia cathartica) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Huitwa mpupu pia lakini tafadhali jina hili litengewe Mucuna pruriens (mpupu). Makaka na mbegu huitwa matela. Spishi hii hufananishwa mara nyingi na mbwanda (C. gladiata) lakini makaka ni mafupi na manene zaidi.

Mtela hukuzwa katika Afrika ya Mashariki kama zao la kufunikia na matandazo kijani. Huko Uhabeshi makaka mabichi na mbegu mbichi huliwa. Mimea inaweza kutumiwa kama malisho, lakini mbegu mbivu zinaweza kuliga wanyama zikiwa nyingi sana.

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtela kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.