Mto Alero (pia: Alwero, Aluoro, Aloru) unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia (Jimbo la Gambela).
Ni tawimto la mto Baro ambao unaungana na mto Pibor kuunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.