Mto Gilo (pia: Mene, Owis, Bako) unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia (Jimbo la Gambela).

Ramani ya beseni la mto Sobat.

Ni tawimto la mto Pibor ambao unaungana na mto Baro kuunda mto Sobat, tawimto la Nile Nyeupe.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri