Ruvu (Pangani)
(Elekezwa kutoka Mto Jipe Ruvu)
Mto Ruvu (pia: Luffu au Jipe Ruvu) ni jina la mojawapo kati ya matawimto muhimu zaidi ya mto Pangani[1] kaskazini mashariki mwa Tanzania.
Kwa maana nyingine, tazama Ruvu (Pwani).
Mto Ruvu unaanza kama Mto Lumi kwenye Kilimanjaro, unapitia ziwa Jipe na kuishia lambo la Nyumba ya Mungu.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ruvu (Pangani) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |