Mto Kihanzi (pia Kihansi) ni kati ya mito ya mkoa wa Morogoro (Tanzania Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi.

Maporomoko ya maji ya mto Kihansi yalikuwa makazi ya chura wa Kihansi aliyetoweka huko tangu kujengwa kwa lambo la Kihansi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kihanzi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.