08°34′30.0″S 35°51′05.0″E / 8.575000°S 35.851389°E / -8.575000; 35.851389


Lambo la Kihansi linapatikana nchini Tanzania katika mkoa wa Morogoro na linaunda bwawa la maji ya mto Kilombero litumikalo kuzalisha umeme kwa njia ya kani mvutano yaani graviti.

Bwawa la Kihansi lina uwezo wa kuzalisha hadi megawatts 180 (241,384 hp) ambapo linachangia asilimia 13 ya umeme unaozalishwa nchini Tanzania [1].

Mahali

hariri

Bwawa la Kihansi, ambalo limetokana na lambo hilo, linapatikana kusini mwa Tanzania kukatisha mto Kilombero katika korongo la Kihansi baada ya kukutana na mto ulanga. Kutoka Dar es Salaam inakadiriwa kuwa kilometa 643 kusini[2], wakati kutoka Iringa inakadiriwa ni kilometa 168 kusini, mpakani mwa Wilaya ya Mufindi na Wilaya ya Kilombero[3].

Historia

hariri

Bwawa la Kihansi linamilikiwa na shirika la umeme la Tanzania TANESCO. Lilianza kujengwa mnamo Julai 1995 likakamilika na kisha kufunguliwa na Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Benjamin W. Mkapa tarehe 10 Julai 2000.

Ujenzi wake uligharimu kiasi cha dola za Kimarekani milioni 275 [1][4].

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Power Technology (2020). "Lower Kihansi Hydropower Project". London: Power-Technology.com. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://www.google.com/maps/dir/Dar+es+Salaam,+Tanzania/Kihansi+hydro+power+plant,+Mlimba,+Tanzania/@-7.4264117,35.1951065,7z/data=!3m1!4b1!4m14!4m13!1m5!1m1!1s0x185c4bae169bd6f1:0x940f6b26a086a1dd!2m2!1d39.2083284!2d-6.792354!1m5!1m1!1s0x18ff51e3aa0196e1:0x390dbda175a80b24!2m2!1d35.8089055!2d-8.7824511!3e0
  3. https://www.google.com/maps/dir/Iringa,+Tanzania/Mlimba,+Tanzania/@-8.2750734,35.0682795,9z/data=!3m1!4b1!4m14!4m13!1m5!1m1!1s0x1854162bc11b2eb1:0x287d3378c421502f!2m2!1d35.6860723!2d-7.768059!1m5!1m1!1s0x18ff51ea3e353cd7:0x2e4e348437939e6e!2m2!1d35.8089055!2d-8.7824511!3e0 |access-date=1 August 2020
  4. Pierre Julien and Seema Shah (1 Novemba 2005). "Sedimentation Initiatives in Developing Countries" (PDF). UNESCO. ku. 29–31. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (Archived from the original on 26 July 2011) mnamo 26 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2010. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lambo la Kihansi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.