Mto Kilakala
Mto Kilakala unapatikana katika Mkoa wa Morogoro na ndio ulioipa kata ya Kilakala jina lake.
Maji ya mto huo, unaopitia katikati ya mji wa Morogoro, yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Wami na mto Ruvu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kilakala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |