Mto Kwilu
Mto Kwilu ni tawimto la mto Kwango, ambao tena ni tawimto la mto Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Chanzo chake ni nchini Angola.
Urefu wake ni km 975 hivi. 3°23′07″S 17°23′04″E / 3.385251°S 17.384491°E
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kwilu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |