Mto Morogoro

Mto Morogoro unapatikana katika Mkoa wa Morogoro na ndio ulioupa mji ulio makao makuu ya mkoa (pamoja na mkoa mzima) jina lake.

Inasemekana jina hilo limetokana na sauti ya maji yake.

Maji ya mto huo, unaopitia katikati ya mji wa Morogoro, yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Ngerengere na mto Ruvu.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit