Mto Sebeya
Mto Sebeya unapatikana nchini Rwanda.
Unaingia katika Ziwa Kivu ambapo mto Ruzizi unatoka kutiririsha maji yake hadi kuingia katika ziwa Tanganyika. Kutoka huko maji yanaelekea mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Sebeya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |