Mto Yser (kwa Kifaransa: kwa Kiholanzi: IJzer) ni mto ambao una chanzokaskazini mwa Ufaransa. Unaingia Ubelgiji na hutiririka katika Bahari ya Kaskazini katika mji Nieuwpoort.

Yser/IJzer
{{{maelezo_ya_picha}}}
Chanzo Nord
Mdomo North Sea
51°9′10″N 2°43′23″E / 51.15278°N 2.72306°E / 51.15278; 2.72306 (North Sea-Yser)
Urefu 78 km

Katika Ufaransa

hariri

Chanzo cha mto Yser ni Buysscheure, katika Nord département kaskazini mwa Ufaransa. Kisha unapitia Bollezeele, Esquelbecq, Bambecque na takriban 30 ya kilomita 78 zake hupitia Ufaransa kabla ya kuvuka mpaka katika Houtkerque.

Nchini Ubelgiji

hariri

Katika Ubelgiji Yser hupitia Diksmuide, na nje ya Bahari katika Kaskazini katika Nieuwpoort. Wakati wa vita vya Yser katika Vita Kuu vya Kwanza vya Dunia mto huu ulikuwa na mafuriko makusudi kutoka Nieuwpoort hadi Diksmuide ili kutoa kikwazo kwa jeshi la kijerumani.

Matawimito

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Yser kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.