Mtumbatu ni kata ya Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania

Kata ya Mtumbatu ina jumla ya vijiji sita (6) ambavyo ni: Kitange 1, Kitange 2, Machatu, Mahemu, Masungo, na Mtumbatu.

Wenyeji wa kata hiyo ni Wakaguru.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Kilosa - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Berega | Chanzulu | Dumila | Kasiki | Kidete | Kidodi | Kilangali | Kimamba A | Kimamba B | Kisanga | Kitete | Lumbiji | Lumuma | Mabula | Mabwerebwere | Madoto | Magole | Magomeni | Magubike | Maguha | Malolo | Mamboya | Masanze | Mbigiri | Mbumi | Mhenda | Mikumi | Mkwatani | Msowero | Mtumbatu | Mvumi | Parakuyo | Ruaha | Rudewa | Ruhembe | Tindiga | Ulaya | Uleling`ombe | Vidunda | Zombo |


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mtumbatu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.