Magole ni kata ya Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67414. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 20,954 [1] waishio humo.

Kijiji kimegawanyika katika yadi mbili, yaani Magole A na Magole B.

Magole A upande wa kushoto kuna vitongoji vya Manyata, Bwawani, Zizini, Kichangani.

Upande wa Magole B kuna vitongoji vya Mji Mkuu, Gendeni, Sinza na Chabwanga.

Shughuli kubwa za wakazi wengi ni kilimo cha biashara kama mahindi, mpunga, nyanya, mihogo, mtama na mazao mengine ya chakula

Mwaka 2014 kijiji kilikumbwa na mafuriko yaliyosababisha zaidi ya wakazi 500 kukosa nyumba.


MarejeoEdit

  1. Sensa ya 2012, Morogoro - Kilosa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
  Kata za Wilaya ya Kilosa - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Berega | Chanzulu | Dumila | Kasiki | Kidete | Kidodi | Kilangali | Kimamba A | Kimamba B | Kisanga | Kitete | Lumbiji | Lumuma | Mabula | Mabwerebwere | Madoto | Magole | Magomeni | Magubike | Maguha | Malolo | Mamboya | Masanze | Mbigiri | Mbumi | Mhenda | Mikumi | Mkwatani | Msowero | Mtumbatu | Mvumi | Parakuyo | Ruaha | Rudewa | Ruhembe | Tindiga | Ulaya | Uleling`ombe | Vidunda | Zombo |


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Magole kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.