JOSEPH ADAM KESSY
Imejiunga 30 Septemba 2020
Joseph Adam Kessy (amezaliwa Moshi,Tanzania, 23 novemba, 1997)ni Afisa kilimo na Mifugo wakujitegemea wilaya ya moshi vijijini, mkoa wa kilimanjaro,Tanzania (Kata ya kilema makuyuni )
Elimu
Ana diploma ya Kilimo na Mifugo (2017-2019) kutoka chuo cha kilimo na Mifugo Kilacha Himo,Kilimanjaro.
2012-2015 Joseph alipata elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Pakula, Kilimanjaro na miaka 2004-2011, alisoma Shule ya Msingi Manu, Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Uzoefu wa kazi
Joseph alipomaliza elimu yake ya Kilimo na Mifugo katika chuo cha Kilimo na Mifugo Kilacha, Himo Kilimanjaro, Tanzania mwaka 2019 akaanza kutumia taaluma yake ya Kilimo na Mifugo kwa kutibu wanyama, kutoa ushauri wa kilimo na ufugaji bora wenye tija hadi sasa.