Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.

Mimi ni Peter Kamero, mzaliwa wa Kenya . Sasa hivi mimi ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi, kitivo cha Sheria, mwaka wa Nne. Nilizaliwa Nairobi mwezi wa nne mwaka wa 1987. Nimelelewa Nairobi, na nimesomea kuku huku. Nilifanya masomo yangu ya msingi katika St. Nicholas Primary School, Nairobi. Kisha niliendelea na masomo yangu katika shule ya upili ya Strathmore, Nairobi. Baadaye nilipitia Alliance Francaise, nilipohitimu masomo yangu ya kifaransa. Kwa kweli nazipenda lugha tofauti, ndio maana niliamua kushiriki katika ushindani huu wa Wikipedia, manake pia Kiswahili nakipenda.


KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)