Mfano wa makala ya kata (kama chanzo ni orodha ya wapiga kura 2015)

hariri
  • mabano mraba maradufu [[ ]] zinaunganisha matini na makala mengine ya swwiki (internal link - kiungo cha ndani);
  • Vigezo (templates) katika mabano mkia {{ }} zinaleta sehemu zilizoandaliwa tayari mfano sanduku ya kata za wilaya fulani
  • Marejeo (references) zinatokea kama tanbihi (footnotes) chini ya matini; zinaanzishwa kwa msimbo wa <ref> na kufungwa kwa </ref>
  • mabano mraba moja-moja [ ] tunatumia ndani ya tanbihi; zinafanya kiungo cha nje - external link (unamwaga URL wote na baada ya kuacha nafasi tupu unaandika jina au maelezo)
  • Matini koze: alama za ''' na == zinasababisha matini kuonekana koze (bold)

Mfano kwa makala zote

hariri

Nakili yote yaliyo chini na kuyamwaga kwenye ukurasa unaoanzisha. Badala ya 1111 andika jina la kata (bila mabano kama yapo), kwa 2222 jina la Wilaya, kwa 3333 jina la Mkoa, kwa 4444 msimbo wa posta iliyo sahihi kufuatana na orodha ya postcode list, kwa XXXX idadi sahihi ya wakazi wa kata kufuatana na orodha ya "Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi".


'''1111''' ni [[kata (eneo)|kata]] ya [[Wilaya ya 2222]] katika [[Mkoa wa 3333]] nchini [[Tanzania]] yenye [[Misimbo ya posta Tanzania|msimbo wa posta]] 4444<ref>[https://tcra.go.tz/document/All%20Postcodes%20List Postcode List 3333]</ref>.

Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa XXXXXXX<ref>[https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara], tovuti ya TBS, iliangaliwa Septemba 2020</ref>.


==Marejeo==

{{marejeo}}

{{Kata za Wilaya ya 2222}}

{{mbegu-jio-3333}}

[[Jamii:Wilaya ya 2222]]


Mfano wa makala ya kata kwa umbo la "Hariri chanzo"

hariri

'''Tomondo''' ni [[kata (eneo)|kata]] ya [[Wilaya ya Morogoro Vijijini]] katika [[Mkoa wa Morogoro]] nchini [[Tanzania]] yenye [[Misimbo ya posta Tanzania|msimbo wa posta]] 67231<ref>[https://tcra.go.tz/document/All%20Postcodes%20List Postcode List Morogoro]</ref>.

Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 5,959<ref>[https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara], tovuti ya TBS, iliangaliwa Septemba 2020</ref>.


==Marejeo==

{{marejeo}}

{{Kata za Wilaya ya Morogoro Vijijini}}

{{mbegu-jio-morogoro}}

[[Jamii:Wilaya ya Morogoro Vijijini]]

Mfano wa makala ya Tomondo kwa msomaji baada ya kuhariri

hariri

Tomondo ni kata ya Wilaya ya Morogoro Vijijini katika Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania yenye msimbo wa posta 67231[1]. Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 5,959[2].

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Morogoro Vijijini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Bungu | Bwakira Chini | Bwakira Juu | Gwata | Kasanga | Kibogwa | Kibuko | Kibungo | Kidugalo | Kinole | Kiroka | Kisaki | Kisemu | Kolero | Konde | Lundi | Matuli | Mikese | Mkambalani | Mkulazi | Mkuyuni | Mngazi | Mtombozi | Mvuha | Ngerengere | Selembala | Singisa | Tawa | Tegetero | Tomondo | Tununguo


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mtumiaji:Kipala/Test kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.