Kinole ni kata ya Wilaya ya Morogoro Vijijini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67202. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,944 [1] walioishi humo.

Maporomoko ya maji katika milima ya Uluguru karibu na Kinole.

Kwa jumla watu wa Kinole ni wakarimu sana. Wengi wao walikuwa wakitokea Amini: ndio walioanzisha jina la Kinole ambalo limetokana na jiwe la kunolea panga, visu na mundu.

Marejeo hariri

  1. Sensa ya 2012, Morogoro - Morogoro DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-03.
  Kata za Wilaya ya Morogoro Vijijini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Bungu | Bwakira Chini | Bwakira Juu | Gwata | Kasanga | Kibogwa | Kibuko | Kibungo | Kidugalo | Kinole | Kiroka | Kisaki | Kisemu | Kolero | Konde | Lundi | Matuli | Mikese | Mkambalani | Mkulazi | Mkuyuni | Mngazi | Mtombozi | Mvuha | Ngerengere | Selembala | Singisa | Tawa | Tegetero | Tomondo | Tununguo


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kinole kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.