Mtumiaji:Zenman/Sanduku la mchanga3

Wilaya ya Abidjan
Wilaya ya Abidjan is located in Côte d'Ivoire
Wilaya ya Abidjan
Wilaya ya Abidjan
Eneo katika Côte d'Ivoire
Majiranukta: 5°24′32″N 4°2′31″W / 5.40889°N 4.04194°W / 5.40889; -4.04194
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Wilaya Wilaya ya Abidjan
Imara 2011
Idadi ya wakazi
 - 4,707,404

Wilaya ya Abidjan au Wilaya huru ya Abidjan (kwa Kifaransa: District autonome d'Abidjan) ni moja kati ya wilaya 14 za nchini Cote d'Ivoire na ni moja kati ya wilaya huru mbili za nchi. Iko Kusini mwa nchi.

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 4,707,404.

Makao makuu yako Abidjan.