Open main menu

Wilaya za Cote d'Ivoire

Wilaya za Cote d’Ivoire (kwa Kifaransa: Départements de Côte d’Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika wilaya zaidi ya 108. Wilaya hizo zimegawanywa katika Tarafa 509.

Wilaya za Cote d’Ivoire (kwa Kifaransa: Départements de Côte d’Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika wilaya zaidi ya 108. Wilaya hizo zimegawanywa katika tarafa 509.

Wilaya zilianzishwa kwanza mwaka wa 1961.

WilayaEdit

Viungo vya njeEdit

Tazama piaEdit