Mukabuye, maarufu kama Bukabuye, ni kata ya Jimbo la Muhambwe katika Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 7,089 [1]. Mwaka 2016 ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania, ilisema kata ina watu 9,189.

Kabla ya mwaka 2014 kata hiyo ilikuwa kijiji cha kata ya Itaba.[2][3]

Vijiji / vitongoji hariri

Kata hii ina vitongoji 10, ambazo ni:

  • Gwanumpu
  • Kabuye
  • Kageyo
  • Kasagwe
  • Kumwayi
  • Mugalika
  • Murugunga
  • Murusange
  • Nyakilenda
  • Nyampfa

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Kibondo - Mkoa wa Kigoma - Tanzania  

Bitare | Biturana | Bunyanbo | Busagara | Busunzu | Itaba | Kagezi | Kibondo Mjini | Kitahana | Kizazi | Kumsenga | Kumwambu | Mabamba | Misezero | Mukabuye | Murungu | Nyaruyoba | Rugongwe | Rusohoko

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mukabuye kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.