Musa Sukwene ni mwimbaji nchini Afrika Kusini, asili yake ni Witbank jimbo la Mpumalanga, alishinda msimu wa tisa wa ,mashindano ya Idols Afrika Kusini mwaka 2013. [1] Tarehe 3 Disemba ilibainika kuwa Sukwene alikuwa amesainiwa na About Entertainment. [2]

Kazi hariri

Mnamo 2016, albamu yake ya pili ya studio Mr. Serious ilitolewa [3] [4] na baadae iliidhinishwa na hadhi ya platinamu mara tatu kwa mauzo ya nakala 90,000.

Orodha ya kazi za muziki hariri

Albamu za studio hariri

Marejeo hariri