Muziki wa Kigregori


Muziki wa Kigregori ni aina nyofu ya muziki wa Kikristo inayotumia sauti moja tu tena bila ya kusindikizwa na ala yoyote.

Wimbo wa mwanzo Gaudeamus omnes, ulioandikwa kwa nota maalumu za mraba katika karne ya 14 au 15.

Ndio muziki rasmi wa Kanisa la Kilatini[1] ambao ulistawi Ulaya magharibi na ya kati katika karne ya 9 na ya 10.

Jina linatokana na hadithi ya kwamba Papa Gregori I ndiye aliyeagiza utumike kanisani.

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa Kigregori kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.