Mwanaspoti ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Mwananchi Communications Ltd. inayotoa pia magazeti ya Mwananchi.

Mwanaspoti
Jina la gazeti Mwanaspoti
Nchi Tanzania
Makao Makuu ya kampuni Dar es Salaam
Tovuti https://www.mwanaspoti.co.tz/

Kampuni yake ni sehemu ya kampuni kubwa ya Nation Media Group ya Nairobi, Kenya.

Magazeti dada hariri

Marejeo hariri

  • Sanga, A. N. (2018). Mkengeuko wa ujumi wa kiafrika katika hadithi fupi andishi za kiswahili kipindi cha utandawazi: Mifano kutoka magazeti ya Habari Leo, Nipashe na Mwananchi (Doctoral dissertation, Chuo Kikuu cha Dodoma)