Mchaichai
(Elekezwa kutoka Mzumari)
Mchaichai | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mchaichai wa kawaida (Cymbopogon citratus)
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 11 katika Afrika: |
Mchaichai (pia: mzumari; jina la kisayansi: Cymbopogon spp.) ni jina la nyasi za nusufamilia Andropogoneae.
Majani yake yana harufu na ladha ya limau, kwa hiyo hunywewa kama chai, yakiwa peke yake au kama mchanganyiko na majani ya chai. Lakini spishi kadhaa, kama mchaichai fukuza-mbu, hazinyweka.
Spishi za Afrika
hariri- Cymbopogon caesius (Kachi grass)
- Cymbopogon citratus, Mchaichai wa Kawaida (Lemon grass)
- Cymbopogon commutatus, Mchaichai-fukizo (Incense grass)
- Cymbopogon densiflorus
- Cymbopogon dieterlenii, Mchaichai Kusi
- Cymbopogon giganteus, Mchaichai Mkubwa
- Cymbopogon marginatus
- Cymbopogon nardus, Mchaichai Fukuza-mbu (Citronella grass)
- Cymbopogon nervatus
- Cymbopogon pospischilii
- Cymbopogon schoenanthus, Mchaichai-ngamia (Camel grass)
Spishi za Asia
hariri- Cymbopogon ambiguus (Australian lemon-scented grass)
- Cymbopogon annamensis
- Cymbopogon bhutanicus
- Cymbopogon bombycinus
- Cymbopogon calcicola
- Cymbopogon calciphilus
- Cymbopogon cambogiensis
- Cymbopogon clandestinus
- Cymbopogon coloratus
- Cymbopogon dependens
- Cymbopogon distans
- Cymbopogon exsertus
- Cymbopogon flexuosus (East Indian lemon grass)
- Cymbopogon gidarba
- Cymbopogon globosus
- Cymbopogon goeringii
- Cymbopogon gratus
- Cymbopogon jwarancusa
- Cymbopogon khasianus
- Cymbopogon liangshanensis
- Cymbopogon mandalaiaensis
- Cymbopogon martinii (Palmarosa)
- Cymbopogon mekongensis
- Cymbopogon microstachys
- Cymbopogon minor
- Cymbopogon minutiflorus
- Cymbopogon nervatus
- Cymbopogon obtectus
- Cymbopogon osmastonii
- Cymbopogon pendulus
- Cymbopogon polyneuros
- Cymbopogon procerus
- Cymbopogon pruinosus
- Cymbopogon queenslandicus
- Cymbopogon quinhonensis
- Cymbopogon rectus
- Cymbopogon refractus (Barbed wire grass)
- Cymbopogon tortilis
- Cymbopogon tungmaiensis
- Cymbopogon winterianus
- Cymbopogon xichangensis
Picha
hariri-
Mchaichai mkubwa
-
Mchaichai fukuza-mbu
-
Mchaichai-ngamia
-
Australian lemon-scented grass
-
C. bombycinus
-
East Indian lemon grass
-
C. goeringii
-
Palmarosa
-
Barbed wire grass
-
C. winterianus
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchaichai kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |