Mzumbe ni kata ya Wilaya ya Mvomero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67311.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 19,677 [1].Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,056 [2] walioishi humo.

Mzumbe ilikuwa mahali pa chuo cha utawala (Local Government School) kilichoanzishwa mwaka 1953 wakati wa Tanganyika kuwa chini ya Uingereza kilichoendelea kuwa "Institute of Development Management (IDM-Mzumbe)"; tangu mwaka 2001 hadhi ya taasisi ilipandishwa tena kuwa chuo kikuu cha Mzumbe University.[3]

Mzumbe ina watu wa makabila mbalimbali, lakini hasa ni asili ya kabila la Waluguru.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. Sensa ya 2012, Morogoro - Mvomero DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2015-03-22.
  3. Kuhusu Chuo kikuu cha Mzumbe. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-05-08. Iliwekwa mnamo 2016-06-04.
  Kata za Wilaya ya Mvomero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Bunduki | Dakawa | Diongoya | Doma | Hembeti | Homboza | Kanga | Kibati | Kikeo | Kinda | Kweuma | Langali | Luale | Lubungo | Mangae | Maskati | Melela | Mgeta | Mhonda | Mkindo | Mlali | Msongozi | Mtibwa | Mvomero | Mziha | Mzumbe | Nyandira | Pemba | Sungaji | Tchenzema


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mzumbe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.