Mvomero (wilaya)

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Mvomero)
Mahali pa Mvomero katika Mkoa wa Morogoro.

Wilaya ya Mvomero ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro,Tanzania yenye Postikodi namba 67300. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 260,525 [1] na idadi hii ikaongezeka hadi sensa ya 2012 kuwa wakazi 312,109[2] .

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Mvomero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Bunduki | Diongoya | Doma | Hembeti | Kanga | Kibati | Kikeo | Langali | Maskati | Melela | Mhonda | Mlali | Mtibwa | Mvomero | Mzumbe | Nyandira | Sungaji | Tchenzema


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mvomero (wilaya) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.