Nabil Dirar

Mwanasoka wa Moroko

Nabil Dirar (alizaliwa tarehe 25 Februari mwaka 1986) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye sasa anacheza kama winga wa klabu ya Uturuki Fenerbahçe na timu ya taifa ya Morocco.

Faili:Nabil Dirar Fenerbahçe SK 19 Aug 2019 (cropped).jpg
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nabil Dirar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.