Naby Laye Keïta (alizaliwa 10 Februari 1995) ni mchezaji wa soka wa Guinea ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool F.C..

Naby Keita

Ndiye nahodha wa timu ya taifa ya Guinea iliyopo barani Afrika.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Naby Keita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.