Naiyobi ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 13,161 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,133 [2] walioishi humo.

Wakazi wa kata ya Naiyobi ni wafugaji wa kabila la Wamasai na wachache hujishughulisha na biashara ndogondogo.

Kata ya Naiyobi imezungukwa na miinuko mbalimbali na ndilo eneo unaloweza kuona vizuri mlima Oldonyo Lengai pamoja na mlima Kerimasi.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Arusha - Ngorongoro DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-20. 
  Kata za Wilaya ya Ngorongoro - Mkoa wa Arusha - Tanzania  

Alailelai | Alaitolei | Arash | Digodigo | Enduleni | Engaresero | Enguserosambu | Eyasi | Kakesio | Kirangi | Maalon | Malambo | Misigiyo | Nainokanoka | Naiyobi | Ngoile | Ngorongoro | Olbalbal | Oldonyosambu | Oloipiri | Olorien/Magaiduru | Ololosokwan | Orgosorok | Pinyinyi | Piyaya | Sale | Samunge | Soitsambu


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Naiyobi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.