Mlima Namarunu ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 817 juu ya UB. Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Turkana. [1]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Woolley 2001, p. 108-109.