Nathalie Des Rosiers

Nathalie Des Rosiers CM OOnt (alizaliwa 1959) ni wakili, msomi na mwanasiasa wa zamani huko Ontario, Kanada. Nathalie ni Mkuu wa 6 katika Chuo cha Massey na katika Chuo Kikuu cha Toronto.[1]

Nathalie Des Rosiers

Asili Yake hariri

Nathalie Alizaliwa Montreal, alisomea sheria katika Chuo Kikuu cha Montréal na akapokea LLM kutoka Chuo Kikuu cha Harvard.[2]

Siasa hariri

Nathalie Alichaguliwa kama mgombea wa Liberal katika uchaguzi mdogo wa Novemba 2016 uliofanyika katika eneo la Ontario la Ottawa-Vanier kufuatia kujiuzulu kwa Madeleine Meilleur.

Marejeo hariri

  1. "Nathalie des Rosiers Elected Principal of Massey College – Massey College". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-27. Iliwekwa mnamo 2019-06-09.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  2. "Nathalie Des Rosiers: On guard for Canadians' freedoms", December 28, 2010. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nathalie Des Rosiers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo Vya Nje hariri