Ndau ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Rote.

Sehemu mojawapo katika kisiwa cha Ndau.

Eneo la kisiwa ni km² 8.6. Watu wakaao kisiwani kwa Ndau huongea Kidhao.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ndau (Indonesia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.