Nemesi wa Aleksandria

Nemesi wa Aleksandria (alifariki 250 hivi) alikuwa Mkristo wa Misri aliyefia dini kwa kuchomwa moto katika mji huo wakati wa dhuluma ya kaisari Decius[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Septemba[2] lakini pia 19 Desemba[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Arrested for theft, Nemesius was proved innocent, but in the process the authorities discovered that he was a Christian. He was scourged and executed with a couple of criminals in the persecutions of Decius.
  2. Martyrologium Romanum
  3. https://catholicsaints.info/saint-nemesius-of-alexandria/
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.