Nevado Cumbal ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).

Mlima wa Nevado Cumbal, 1989
Mlima wa Nevado Cumbal, 2007

Urefu wake ni mita 4,764 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

hariri