Nevado del Tolima

Nevado del Tolima ni mlima wa Andes katika nchi ya Kolombia (Amerika Kusini).

Nevado del Tolima - Colombia (8204622886).jpg

Urefu wake ni mita 5,215 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit