Ngalawa au Ungalawa ni mtumbwi wa kitamadumi wa Waswahili waishio Zanzibari na pwani ya Tanzania. Kawaida huwa na urefu wa mita 5 mpaka 6 pia utengenezwa na vitu viwili, mlingonti uliowekwa katikati (mara nyingi huinama kidogo kuelekea mbele) na moja la pembetatu. Inatumika kwa usafiri wa umbali mfupi wa bidhaa au watu, pamoja na mashua ya uvuvi.

Marejeo

hariri