Niasony Okomo

Mwimbaji wa Kongo


Niasony Okomo (alizaliwa 1973) ni mwimbaji, mwanamitindo na dansa wa nchini Kongo . Anajulikana kwa sauti yake laini na muziki unaotokana na ujumbe, kwa sasa anaishi na anafanya kazi nchini Ujerumani. [1]

Niasony Okomo

Maelezo ya awali
Amezaliwa 1973
Asili yake Brazzaville, kongo
Kazi yake Mwimbaji
Tovuti niasony.com

Alizaliwa huko Brazzaville mwaka 1973 na Michael Okomo na Charlotte Nkounkolo na akahamia Heiligenhaus, Ujerumani, karibu na Düsseldorf, mwaka 1987.[2] Amezungumza kuhusu utamaduni aliopitia katika harakati zake. Akiwa kijana Niasony alifanya kazi kama, mchezaji na msanii wa katika miradi mbalimbali.

Mwaka 2013, Niasony alitunukiwa tuzo na Mfuko wa Vijana wa Afrika tuzo ya ADLER kwa kuwa balozi wa utamaduni wa Afrika.[3]

Niasony anaishi huko Düsseldorf, Ujerumani

Marejeo

hariri
  1. "Niasony – Pulsating groove from the Congo". Niasony.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Julai 2014. Iliwekwa mnamo 25 Nov 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ossinondé, Clément (4 Ago 2013). "Niasony Okomo, la nouvelle diva de la chanson congolaise en Allemagne". Starducongo.com (kwa French). Star du Congo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 26 Novemba 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. Sikiti da Silva, Issa. "Niasony excels in ‘Nasina’, scoops prestigious award", SIFA news, 22 December 2013. Retrieved on 2022-04-23. Archived from the original on 2018-01-28. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niasony Okomo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.