Nikasi, Kwirini na wenzao

Nikasi, Kwirini na wenzao Skuvikuli na Piensya (walifariki katika eneo la Vexin, leo nchini Ufaransa, 285 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani ya Kikristo[1][2].

Mt. Kwirini

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Oktoba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.