Nikole Hannah-Jones

Mwandishi wa habari wa Marekani

Nikole Sheri Hannah-Jones (alizaliwa Aprili 9, 1976)[1][2] ni mwandishi wa habari za kichunguzi wa Marekani anayefahamika kwa kazi yake ya habari kuhusiana na haki za raia na haki za kisiasa. Mnamo Aprili 2015, alikuwa mwandishi wa wafanyakazi wa The New York Times.

Nikole Hannah-Jones

Amezaliwa Aprili 9 1976
Waterloo
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi wa habari
Nikole Sheri Hannah-Jones
Hannah-Jones pamoja na waliohudhuria baada ya kutoa mazungumzo kwenye Rochester, New York
Hannah-Jones pamoja na waliohudhuria baada ya kutoa mazungumzo kwenye Rochester, New York

Mwaka 2017 alipewa tuzo na MacArthur Fellows Program na mwaka 2020 alishinda tuzo ya Pulitzer Prize kwa kazi yake ya The 1619 Project.

Maisha ya awali hariri

Hannah-Jones alizaliwa Waterloo kwa baba yake Milton Hannah, ambaye ni mmarekani mwenye asili ya Kiafrika na mama Cheryl A. Novotny, ambaye ni Mzungu mwenye asili ya Ucheki na Uingereza.[3] Hannah-Jones ni wa pili kati ya dada watatu.[4] Mnamo 1947 akiwa na umri wa miaka miwili, baba wa Hannah-Jones, pamoja na mama yake na kaka yake mkubwa, waliondoka Greenwood, Mississippi katika mkoa wa Delta ya Mississippi, wakielekea kaskazini kwa gari moshi kuelekea Lowa kama vile familia zingine nyingi za watu weusi, zilizo ondoka kuepuka maisha ya "kuokota pamba katika jamii ya kimwinyi ambayo ilikuwa Delta ya Mississippi"".[5]

Hannah-Jones na dada yake walisoma shule ya watu weupe kama sehemu ya mpango wa hiari wa kumaliza ubaguzi wa rangi. [6] Alihudhiria shule ya upili ya Waterloo ambapo aliiandikia gazeti la shule na kuhitimu mwaka 1994.[7] Hannah-Jones alipata shahada ya kwanza katika Historia na Mafunzo ya Kiafrika na Amerika katika chuo kikuu cha Notre Dame iliyopo Indiana mwaka 1998.

Alihitimu kutoka chuo kikuu cha uandishi wa Habari ya North Carolina Hussman na kupata digrii ya uzamili mnamo mwaka 2003, ambapo alikuwa mwanachama wa Roy H. Park.[8][9]

Kazi hariri

Mnamo 2003, Hannah-Jones alianza kazi ambao ulijumuisha shule za umma za Durham. nafasi aliyokuwa nayo kwa miaka mitatu.[6] Mnamo 2006, Hannah-Jones alihamia Portland, Oregon ambapo aliiandikia The Oregonian kwa miaka sita.[3]

Mnamo 2007, kuadhimisha miaka 40 ya ghasia za Watts ya mwaka 1965, Hannah-Jones aliandika juu ya athari zake kwa jamii kwa Tume ya Kitaifa ya Ushauri wa Matatizo ya Kiraia.[10] Kuanzia mwaka 2008 hadi 2009, Hannah-Jones alipokea ushirika kutoka kwa Taasisi ya Mafunzo ya Uandishi wa Habari ya hali ya juu ambayo ilimwezesha kusafiri kwenda nchini Cuba kusoma huduma ya afya kwa wote na mfumo wa elimu wa Cuba chini ya Raul Castro.[11][12] Mnamo mwaka 2011, alijiunga na shirika lisilo la kutengeneza faida la ProPublica, ambalo lipo katika jiji la New York.[13] [14] Hannah-Jones alichaguliwa kama mwanachama wa chuo cha Sanaa na sayansi cha Marekanimwaka 2021.[15]

The New York Times hariri

Mnamo mwaka 2015, Hannah-Jones alikuwa mwandishi wa New York Times.[16] Aliandika juu ya mada mbalimbali kama vile ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa kujitenga katika shule za Marekani.[17][18] [19][20]

Aliandika habari za kugundua na kufichua ubaguzi wa kimfumo na wa kitaasisi ambao alisema uliendelezwa na sheria.[21] Kazi yake juu ya usawa wa rangi imekuwa ya ushawishi mkubwa na kutumiwa sana. [22]

Hannah-Jones aliripoti juu ya wilaya ambapo kijana Michael Brown alipigwa risasi, moja ya "wilaya zilizotengwa Zaidi na masikini katika jimbo lote" la Missouri. [23] Mkaguzi Laura Moser wa jarida la Slate alisifu ripoti yake juu ya kutengwa kwa shule, ambayo ilionyesha jinsi ukosefu wa usawa wa kielimu unaweza kuwa sababu ya kifo cha bahati mbaya cha Brown.[24] Hannah-Jones alikuwa mshirika wa Emerson mwaka 2017 katika taasisi ya New America,[25] ambapo alikuwa akiandika kitabu kuhusiana na ubaguzi katika shule.[26] Kitabu chake kiitwacho The Problem We All Live With ilichapishwa Juni 2020 na Chris Jackson.[27]

Hannah-Jones ni mpokeaji wa ushirika wa taasisi ya MacArthur wa mwaka 2017. [28] Tuzo hiyo ilimtaja "Kurejelea kuendelea vita dhidi ya ubaguzi wa rangi katika jamii ya Marekani, haswa katika elimu, na kuunda mazungumzo ya kitaifa juu ya mageuzi ya elimu." [29]

Chuo kikuu cha North Carolina hariri

Mnamo Aprili 2021, chuo kikuu cha North Carolina kilitangaza ya kuwa Hannah-Jones atajiunga na shule ya uandishi wa Habari ya UNC Hussman Julai 2021.[30][31][32] [33]

Maisha binafsi hariri

Hannah-Jones anaishi Bedford–Stuyvesant jirani mwa Brooklyn, New York na mume wake Faraji na binti yake.[34]

Tuzo hariri

  • 2007, 2008, 2010: Jamii ya wana Habari mahiri, Pacific Northwest, tuzo bora ya uandishi wa habari [13]
  • 2012: Taasisi ya Gannet, Innovation in Watchdog Journalism Award[13]
  • 2013: Tuzo ya Sidney[35]
  • 2013: Chuo kikuu cha Columbia, Paul Tobenkin Memorial Award[36]
  • 2015: National Awards for Education Reporting, first prize, beat reporting
  • 2015: National Association of Black Journalists, Journalist of the Year[37][38]
  • 2015: National Magazine Award finalist, public interest
  • 2015: Education Writers Association, Fred M. Hechinger Grand Prize for Distinguished Education Reporting[39]
  • 2015: Emerson College President's Award for Civic Leadership
  • 2015: The Root 100[40]
  • 2016: George Polk Award, radio reporting[41]
  • 2017: MacArthur Fellows Program Foundation Fellowship[28]
  • 2017: National Magazine Award winner, public interest[42]
  • 2019: University of North Carolina at Chapel Hill Distinguished Alumna Award[43]
  • 2020: 2020 Pulitzer Prize for Commentary.

Marejeo hariri

  1. Deutch, Gabrielle (2018-04-02). "Writer Hannah-Jones discusses black education, segregation, and privilege". YaleNews (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-04-10. 
  2. Hannah-Jones, Nikole (2019-04-09). "It's my birthday today and I really want you to celebrate with me by watching this amazing documentary on Reconstruction that I had the honor of taking part in. And, yes, I was born on the anniversary of the end of the Civil War. I mean, of course.". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-04-10. 
  3. 3.0 3.1 "Two faces of the black American experience", The Oregonian, 17 January 2009. 
  4. "Life Legacy: Milton Hannah". Hagarty-Waychoff-Grarup. Iliwekwa mnamo 22 March 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Ghosts of Greenwood", ProPublica, 8 July 2014. 
  6. 6.0 6.1 "562: The Problem We All Live With", This American Life, WBEZ, 31 July 2015. 
  7. "About". Nikole Hannah-Jones. Iliwekwa mnamo 22 March 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. "Investigating racial injustice with Nikole Hannah-Jones", Journalist's Resource, Harvard Kennedy School's Shorenstein Center, 15 October 2015. 
  9. "Investigating Racial Injustice", Shorenstein Center, Harvard University, 15 October 2015. 
  10. "Part Three: Los Angeles/Watts – In 1965, Watts burned – and the people cheered", Kerner Plus 40 Report, University of Pennsylvania's Annenberg School for Communication and Center for Africana Studies & the Institute for Advanced Journalism Studies at North Carolina A&T State University, Spring 2008, pp. 28–32. Retrieved on 2021-05-22. Archived from the original on 2017-02-06. 
  11. "Stories Inside the Black-White Achievement Gap. Part 1: What it is and why it persists: Closing the achievement gap: A matter of national survival", Institute for Advanced Journalism Studies, 2009. Retrieved on 2021-05-22. Archived from the original on 2010-07-16. 
  12. "Stories Inside the Black-White Achievement Gap. Part 3: Cuba: How all children learn in a mostly-black land: Cuban School Officials Put Premium On Health Of Students", Institute for Advanced Journalism Studies, 2009. Retrieved on 2021-05-22. Archived from the original on 2016-06-12. 
  13. 13.0 13.1 13.2 "About Us: Nikole Hannah-Jones". ProPublica. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-30. Iliwekwa mnamo 22 March 2016.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  14. "Jim Crow in the Classroom: New Report Finds Segregation Lives on in U.S. Schools", Democracy Now, 23 April 2014. 
  15. "New Members". American Academy of Arts & Sciences (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-04-24. 
  16. "Nikole Hannah-Jones Joins The New York Times Magazine", The New York Times Company, 1 April 2015. 
  17. "A laurel to ProPublica: A superlative investigative piece examines the resegregation of America's schools", Columbia Journalism Review, 2 May 2014. 
  18. "Gentrification doesn't fix inner-city schools", Grist, 27 February 2015. 
  19. "A Battle For Fair Housing Still Raging, But Mostly Forgotten", NPR, 2 December 2013. 
  20. "Minnesota's achievement gap debated at NABJ conference", Star Tribune, 8 August 2015. 
  21. Silverstein, Jake. "A Chat With MacArthur Genius Nikole Hannah-Jones", The New York Times, 2017-10-13. (en-US) 
  22. "'Apostrophes': Nikole Hannah-Jones on Race, Education and Inequality, at Longreads Story Night", Longreads Story Night, 5 November 2015. 
  23. "Why school districts like Michael Brown's have suffered 'rapid resegregation'", PBS, 11 August 2015. 
  24. "There's Another Racist Tragedy in St. Louis That Nobody Talks About", Slate, 4 August 2015. 
  25. "Previous Classes". New America (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-10-04. 
  26. "Nikole Hannah-Jones". New America (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-10-04. 
  27. Hannah-Jones, Nikole (June 2, 2020). The Problem We All Live with (kwa Kiingereza). One World. ISBN 9780399180569.  Check date values in: |date= (help)
  28. 28.0 28.1 Gibson, Caitlin (October 11, 2017). "MacArthur 'genius' grant winners step into the spotlight: 'Is this really happening?'". Iliwekwa mnamo May 5, 2020 – kutoka www.washingtonpost.com.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  29. "Nikole Hannah-Jones - MacArthur Foundation". www.macfound.org (kwa Kiingereza). MacArthur Foundation. Iliwekwa mnamo 11 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  30. "Pulitzer Prize-winning MacArthur ‘Genius’ Nikole Hannah-Jones of The New York Times to become Knight Chair in Race and Investigative Journalism". UNC Hussman School of Journalism and Media (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-21. Iliwekwa mnamo 2021-05-19.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  31. "PW special report: After conservative criticism, UNC backs down from offering acclaimed journalist tenured position". NC Policy Watch (kwa en-US). 2021-05-19. Iliwekwa mnamo 2021-05-19. 
  32. "UNC's 1619 Project Hire: A Case Study of Failed University Governance". The James G. Martin Center for Academic Renewal (kwa en-US). 2021-05-10. Iliwekwa mnamo 2021-05-19. 
  33. "Nikole Hannah-Jones Denied Tenure at University of North Carolina". New York Times (kwa en-US). 2021-05-19. Iliwekwa mnamo 2021-05-20. 
  34. "A Letter From Black America: Yes, we fear the police. Here's why.", Politico, March 2015. Retrieved on 2021-05-22. Archived from the original on 2020-09-27. 
  35. "This American Life Wins December Sidney for Shining a Light on Racial Profiling in the Housing Market", The Sidney Hillman Foundation, December 2013. 
  36. "Tobenkin Award: Past Winners – 2013". Columbia University. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-27. Iliwekwa mnamo 22 March 2016.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  37. Turner, Aprill (23 April 2015). "Nikole Hannah-Jones Named NABJ 2015 Journalist of the Year". National Association of Black Journalists (NABJ). Iliwekwa mnamo 22 March 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  38. "NABJ "Journalist of Year" Says to Tell Blacks' Stories", Robert C. Maynard Institute for Journalism Education, 10 August 2015. Retrieved on 2021-05-22. Archived from the original on 2016-05-02. 
  39. "ProPublica Report on Resegregation Takes Top Education Writers' Award", Education Week, 21 April 2015. 
  40. "61. Nikole Hannah-Jones", The Root, 2015. Retrieved on 2021-05-22. Archived from the original on 2016-05-21. 
  41. "New York Times Journalists Among Winners of 2015 Polk Awards", The New York Times, 14 February 2016. 
  42. "2017 National Magazine Awards | ASME". asme.magazine.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 6, 2019. Iliwekwa mnamo 2019-08-18.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  43. "Nikole Hannah-Jones '03 (M.A.) receives UNC's prestigious Distinguished Alumna Award". UNC Hussman School of Journalism and Media (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-05-21.