9 Aprili

tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 9)
Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 9 Aprili ni siku ya 99 ya mwaka (ya 100 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 266.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Aleksandria, Edesi wa Aleksandria, Dimitri wa Thesalonike, Eupsiki, Libori, Akasi wa Amida, Vatrude, Ugo wa Rouen, Kasilda, Gaukeri n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 9 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.