Niseti wa Vienne
Niseti wa Vienne (alifariki baada ya 449) alikuwa askofu wa 14 au 16 wa mji huo (leo nchini Ufaransa)[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/51930
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |