Nolito (alizaliwa 15 Oktoba 1986) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama winga kwa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Sevilla FC.

Huyu ni Nolito.
Nolito akishangilia baada ya kufunga goli.

Alianza kazi yake kwenye klabu za chini za ligi, alijiunga na Barcelona mwaka 2008, akicheza sana na akiba yake. Miaka mitatu baadaye alihamia Benfica nchini Portugal, na alikopwa tena Hispania na Granada kabla ya kujiunga na Celta Vigo mwaka 2013.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nolito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.